BAADA ya jana Machi 20, 2017, Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata kujiuzulu nyadhifa zao hizo, mbele uya kamera za Global TV Online, wabunge hao wametoa kauli zao kuhusu kiini cha wao kufanya maamuzi hayo magumu.
Kafumu ni Mbunge wa Jimbo la Igunga (CCM) ambapo Vicky Kamata ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akiwakilisha wanawake wa Mkoa wa Geita.