NEWS

1 Aprili 2017

Mungu Fundi Bwana...Steve Nyerere Aonyesha Magari Anayomiliki...


Unaambiwa yule msanii wa Vichekesho Steve Nyerere mungu hajamnyima utajiri wa magari...Leo ameamua kutuonyesha magari yote anayomiliki na kuandika haya:

@Regrann from @stevenyerere2 - Mungu fundi bwana akitaka kukupa daaaa ..