#TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo 'Ndesa Pesa' amefariki dunia. #RIP Mzee Ndesamburo