NEWS

6 Juni 2017

Maajabu..Kanisa Nchini Ghana Wafanya Ibada ya Kujipongeza Baada ya Chelsea Kutwaa Ubingwa wa Uingereza..!!


Kanisa la Living Stream International la nchini Ghana limefanya ibada maalum ya shukrani baada ya Chelsea kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Uingereza na kufaniliwa kuchukua kombe.