Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 08, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Ndanda (CHADEMA) Mhe.Cecil Mwambe katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.