NEWS

1 Januari 2019

MAUA SAMA ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO)

Msanii Maua Sama akitoa burudani katika shoo ya ‘Kufunga Mwaka Jumla-Jumla’ Dar Live

Maua Sama, leo amewathibitishia wapenzi wa burudani kwa  kufanya shoo ya nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar usiku wa kuamkia mwaka mpya 2019.

…Akiongea na mashabiki zake.

Wacheza shoo wa maua wakitoa burudani.

Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo.

Umati wa mashabiki ukimshangilia Maua Sama na wacheza shoo wake hawapo pichani.

PICHA NA RICHRD BUKOS | GPL

The post MAUA SAMA ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.