NEWS

1 Januari 2019

SHANGWE ZA MKESHA WA MWAKA MPYA 2019 UWANJA WA TAIFA DAR

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkesha wa mwaka mpya wa kuimba na kuabudu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kusherehekea kuupokea mwaka 2019.

Baada ya dakika ya saa 5:59 usiku wa Desemba 31, 2018 wananchi walivyoonekana kwenye uwanja huo wakifurahia kuupokea mwaka 2019.

Mwimbaji wa nyimbo za injili, Emmanuel Mbasha akimba kwa hisia kali kufurahia mwaka 2019 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

 

 

The post SHANGWE ZA MKESHA WA MWAKA MPYA 2019 UWANJA WA TAIFA DAR appeared first on Global Publishers.