WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja na mwanadada, Maua Sama wamefanya shoo ya aina yake mkesha wa Mwaka Mpya iloyotambulika kama Tunafunga Jumla Jumla, Desemba 31, 2018 mwaka jana ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
The post ROSTAM WAFUNGA MWAKA KIBABE DAR LIVE ( PICHA + VIDEO) appeared first on Global Publishers.