NEWS

7 Juni 2017

Msajili wa Vyama Azungumzia Sakata la Maalim Seif Kufungua Ofisi Mpya za CUF..!!!!


June 6, 2017 Katibu wa Itifaki na Uenezi na Mawasiliano ya Ummma wa ACT Wazaledo Ado Shaibu ametoa taarifa iliyosema kuwa Kamati ya uongozi ya chama hicho itakutana June 7, 2016 kutafakari namna ambavyo Anna Mghwira atatekeleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya. Basi ilipofika leo Majira ya Saa tisa alasir chama hicho kupitia Kaimu Kiongozi mkuu SamsoN Mwigamba wametamka kuwa Anna Mghwira hataweza tena kuendelea Mwenyekiti wa chama hicho