NEWS

6 Juni 2017

Rasmi..Anna Mghwira Aikacha ACT Wazalendo na Kujiunga na CCM..Akabidhiwa Ilani kwa Amri ya JPM ..!!!


Tukio la Mkuu mpya a Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Anna Mghwira Kukabidhiwa Ilani ya CCM Leo Ikulu inadhihirisha Wazi kuwa amekubali kwa moyo mmoja kujiunga na chama hiko ambacho kinaongoa Serikali.

Leo Hii mara baada ya kuapishwa Ikulu ,Mhe Anna alikabidhiwa Ilani ya CCM na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara ,mbele ya Rais Magufuli na Viongozi Wengine waandamizi  wa Serikali.