NEWS

7 Juni 2017

TUMA YAANDAA Kongamano la Wasanii katika Jijini Mbeya

CHAMA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA (TUMA) TANZANIA URBAN MUSIC ASSOCIATION Inakuletea Kongamano la Wasanii katika Jiji la Mbeya Watoa mada ni TUMA, BASATA, COSOTA, TRA, PCCB & NHIF.. Kuhusu : Usajili, Haki miliki, Ulipaji kodi, Maadili, Rushwa na Bima. JUMAMOSI hii, Tarehe 10/06/2017 Mahali: TUMANYENE SOCIAL HALL- Nzovwe Kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane na nusu mchana. HAKUNA KIINGILIO….wote mnakaribishwa #msaniijisajiliTUMA @bratonmtz