NEWS

18 Septemba 2017

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Francis Massawe 'anyakuanyakua' na vijana wake

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Francis Massawe (katikati) 'akinyakuanyakua' na askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) waliokuwa wanaulinda mwenge wa uhuru baada ya kumaliza mbio zake Mkoani humo kwa kutembelea miradi 53 ya thamani ya sh6.874 bilioni na kuingia Mkoani Kilimanjaro.  Picha na Joseph Lyimo