NEWS

27 Februari 2018

ANAYEDAIWA DEREVA BODABODA AUAWA, MWILI WATUPWA! – VIDEO

MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amekutwa ameuawa huku mwili wakwe ukiwa umetupwa vichakani katika eneo la Oysterbay karibu na ubalozi wa china jijini Dar.

 

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mtu huyo anadaiwa kuwa huenda ni dereva bodaboda kwani pembeni ya mwili huo kulikutwa speed meter ya pikipiki huku hali ikionyesha kama kulikuwa na vurugu kabla ya kifo chake.

 

Mbali na hivyo mwili wake umekutwa na majeraha usoni ikionyesha kama alipigwa. Jesgi la polisi kituo cha Oysterbay wamechukua mwili huo kwa ajili ya uchunguzi zaidi lakini halijazungumzakuhu chanzo cha kifo huki

 

Tukio hilo limetokea usiku wa kiuamkia leo Tutumie video za matukio popote ulipo kupitia Global TV Ripota WhatsApp namba 0753715779 tutakulipa papo hapo.

VIDEO YA TUKIO HILO

The post ANAYEDAIWA DEREVA BODABODA AUAWA, MWILI WATUPWA! – VIDEO appeared first on Global Publishers.