NEWS

24 Februari 2018

AY Afunga Ndoa Jijini Dar

MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy leo katika ufukwe wa bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Ambwene Yessayah ‘AY ‘ (katikati) akiwa na mkewe (wa pili kushoto) kabla ya kufunga ndoa leo katika  ufukwe wa bahari ya Hindi.

AY akiwa na Mwana FA kabla ya kufunga ndoa.

The post AY Afunga Ndoa Jijini Dar appeared first on Global Publishers.