Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia ameshinda Uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Maulid Mtulia Amepata kula 30, 247 dhidi ya Mgombea wa Chadema Aliyepata kula 12, 353.
The post Breaking News: CCM Yaibuka Kidedea Ubunge Kinondoni appeared first on Global Publishers.