NEWS

25 Februari 2018

Chama Nchini China Chapendekeza Kuondolewa Ukomo wa Rais Madarakani


HINA: Chama tawala cha Kikomunisti kimependeza mabadiliko ya Katiba ili kuondolewa kwa ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani

Kwa katiba ya China, Rais anatakiwa kuhudumu kwa vipindi visivyozidi viwili(miaka 10) huku kila muhula ukiwa ni miaka5

Mabadiliko hayo yatamfanya Rais wa sasa wa taifa hilo, Xi Jinping aliyeingia madarakani mwaka 2013 kusalia madarakani baada ya mwaka 2023