NEWS

25 Februari 2018

JAQUELINE WOLPER AFANYA KUFURU ‘BABY SHOWER’ YA GIGY MONEY!

Jacqueline Wolper akimtunza Gigy Money fedha za Tanzania na Marekani (Dola).

...Akiendelea kumtunza.

Hamisa Mobeto (kulia) akiwa na wenzake katika tukio hilo.

Mobeto (katikati) na Wolper (kulia) wakiwa katika shughuli hiyo.

Warembo waliofika hapo wakiji-selfie na Gigy Money (kushoto).

Tukio la kuji-selfie likiendelea.

Keki  Furaha na shamra zikiendelea ukumbini.

Msanii Amber Lulu (kushoto) akimtunza Gigy Money bonge la ua.

…Akionyesha mapozi na Gigy.

 

MSANII wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo alifanya kufuru ya aina yake baada ya kumtunza minoti msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwenye sherehe yake ya maandalizi ya kumpokea mtoto ambayo hujulikana kama’baby shower’.

 

Tukio hilo lilihudhuriwa na wasanii mbalimbali wa Bongo Muvi na marafiki  waliofika  kumpa sapoti.

Katika hafla hiyo ‘Gigy Money’ alionekana akimpongeza msanii wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, kwa namna ambavyo alimfanyia sapraizi ya aina yake kwa kumtunza minoti hiyo ikiwemo ya fedha za Marekani (Dola).

 

NA DENIS MTIMA/GPL

 

The post JAQUELINE WOLPER AFANYA KUFURU ‘BABY SHOWER’ YA GIGY MONEY! appeared first on Global Publishers.