Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH). Uteuzi wa Prof. Maboko unaanza leo tarehe 19 Februari, 2018.
The post JPM Amteua Profesa UDSM Kuwa Mwenyekiti wa COSTECH appeared first on Global Publishers.