MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia cha Maendeleo (Chadema) mmoja wa kata ya Daraja Mbili, Prosper Msofe na Diwani wa kata ya Terrat, Obeid Meng’oriki, wamejiuzulu na kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile walichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.
The post Madiwani Wawili Chadema Wajiunga CCM Arusha appeared first on Global Publishers.