NEWS

28 Februari 2018

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KOROSHO TANDAHIMBA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametembelea kiwanda cha korosho kilichopo Tandahimba, mkoani Mtwara ambapo amejionea jinsi uzalishaji na utayarishaji wa korosho unavyofanyika.

Waziri Mkuu (kushoto)akiangalia korosho zilizobanguliwa akiongozwa na mmoja wa maofisa wa kiwanda hicho.

…Akionyeshwa jinsi mashine za kubangua korosho zinavyofanya kazi.

…Akitembezwa kiwandani hapo katika korosho ambazo hazijabanguliwa.

…Hapa anaonyeshwa korosho zilizobanguliwa.

Na mwandishi wetu | Global Publishers

The post MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KOROSHO TANDAHIMBA appeared first on Global Publishers.