Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye Ukumbi wa The Jonz uliopo Magomeni Mwembe Chai jijini Dar. Katika onesho hilo Wazee wa Ngwasuma waliwanogesha mashabiki wao kwa nyimbo mpya na zilizowahi kutamba kama vile Dunia kigeugeu, Anna na nyinginezo.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
The post MAKAMUZI YA WAZEE WA NGWASUMA appeared first on Global Publishers.