Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wengine 6 wa chama hicho wameitwa rasmi Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa ajili ya kuhojiwa.
Viongozi hao wanatuhumiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kwa mujibu wa barua hiyo ya wito kutoka kwa Jeshi la Polisi.
Viongozi wengine 6 walioitwa ni; –
Dkt Mashinji(Katibu Mkuu wa CHADEMA)
John J. Mnyika(Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Bara)
Salum Mwalim(Naibu Katibu Mkuu ZNZ)
Halima Mdee(Mbunge na M/Kiti wa BAWACHA)
John Heche(Mbunge)
Ester N. Matiko(Mhazini wa BAWACHA).
The post Mbowe, Mashinji, Mnyika na Wengine 4 Waitwa kwa DCI Kuhojiwa appeared first on Global Publishers.