NEWS

21 Februari 2018

Niyonzima Awasili India Kutibiwa

Kiungo wa Klabu ya Simba, Haruna Niyonzima ameondoka nchini na tayari amewasili yuko nchini India tayari kuanza matibabu.
Niyonzima amekaa nje kwa zaidi ya miezi mitatu akisumbuliwa na maumivu ya goti. Kiungo huyo raia wa Rwanda, ameondoka jana na ndege ya Emirates akipitia Dubai hadi nchini India.
“Tayari niko India salama, nasubiri kuanza matibabu,” alisema.

The post Niyonzima Awasili India Kutibiwa appeared first on Global Publishers.