NEWS

17 Februari 2018

Polisi Wakanusha Kumkamata Mgombea wa CHADEMA Salum Wadai Alijipeleka Kwenye Gari la Polisi


Kamanda wa Polisi Kinondoni, Jumanne Muliro, amekana kuwa hawakumkamata mgombea Ubunge kupitia CHADEMA Salum Mwalimu, kama alivyodaiwa. Ameongeza kuwa, Mwalimu alijipeleka mwenyewe kwenye gari la Polisi ili wanahabari wampige picha ionekane amekamatwa

Mwananchi