NEWS

21 Februari 2018

TAHARUKI! Daraja la Mongo la Ndege Lagawanyika – Video

TAHARUKI na usumbufu wa miundombinu umewakumba wakazi wa Mongo la Ndege, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam baada daraja wanalolitegemea kuvuka kuelekea mjini  kuvunjika kutokana na mvua zilizonyesha kipindi cha nyuma.

Kutoka mtaani, Global TV Ripota amenasa video daraja hilo likiwa limegawanyika huku wananchi wakipata adha ya kuvuka kwenda upande wa pili.

 

SHUHUDIA VIDEO YA DARAJA HILO

The post TAHARUKI! Daraja la Mongo la Ndege Lagawanyika – Video appeared first on Global Publishers.