NEWS

1 Machi 2018

SPOTI HAUSI: Hata Yanga Wakifungwa 10-0, Watabaki Kwenye Michuano ya CAF

 

KATIKA kipindi cha Spoti Hausi leo Alhamisi, Machi 1, 2018 kupitia Global TV Online tutakuletea uchambuzi wa nini Yanga na Simba wanatakiwa kufanya ili kupata matokeo mazuri kwenye michuano ya kimataifa.

 

-Uchambuzi kuhusu timu zilizopo mkiani kwenye Ligi Kuu England

-Kwanini Arsenal watafanya vizuri kwenye mchezo wa leo usiku wa Ligi Kuu England dhidi ya Man City.

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi saa 10:00 Subscribe===> Global TV Online

The post SPOTI HAUSI: Hata Yanga Wakifungwa 10-0, Watabaki Kwenye Michuano ya CAF appeared first on Global Publishers.