NEWS

7 Mei 2018

Binti Mtanzania Anaechapa Ngumi Kama Jet Lee, Atunukiwa – Video

Binti Mdogo wa Kitanzania, Jamila Hamisi ameonyesha uwezo wa kupiga ngumi amewashangaza watu kwa uwezo wake mkubwa wa kupambana kwa kutumia staili mbalimbali hasa ya Karetee.

 

Uwezo huo umempa nafasi ya kutunukiwa Cheti cha Kimataifa cha Mchezo wa Karete katika Chuo cha Jet Konduro, Mkoani Arusha ambapo hafla hiyo ilihudhuriwa na Afisa Michzo jiji hilo, Beson Maneno.

SHUHUDIA MTOTO HUYO AKICHAPA NGUMI

The post Binti Mtanzania Anaechapa Ngumi Kama Jet Lee, Atunukiwa – Video appeared first on Global Publishers.