NEWS

28 Mei 2018

Kesiha Ateuliwa Mjumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

 

MSANII wa Bongo Fleva, Khadija Shabani Taya maarufu kwa jina la ‘Keisha’ ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM (NEC) leo, Jumatatu, Mei 28, 2018.

 

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kufuatia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama hicho uliofanyika leo, Ikulu jijini Dar es Salaam.

The post Kesiha Ateuliwa Mjumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM appeared first on Global Publishers.