
SIMANZI na majonzi yametawala katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma wakati wabunge walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu, Kigoma, Kasuku Bilago aliyeaga dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Akizungumza wakati wa kuaga mwili wa Bilago, Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesema Bilago alikuwa ni zawadi kwa wananchi wa Kigoma.
The post ZITTO KABWE Anena Mazito Kifo cha BILAGO – Video appeared first on Global Publishers.