USIKU wa kuamkia leo msanii wa filamu za Kibongo, Yvone Cherry, ‘Monalisa alifanya sherehe fupi ya kuzaliwa kwake ambapo mpango mzima ulijiri ndani ya Club Legend, Namanga, Kinondoni Jijini Dar.
Katika pati hiyo Monalisa alikataa kutaja miaka yake aliyotimiza lakini mambo yalikuwa si mchezo kwa jinsi watu walivyoruka kwanja na B-Band chini ya Banana Zorro na kisha disko la kukata na shoka kutoka kwa DJ John Dilinga ‘Matroo’.
HABARI:PICHA / RICHARD BUKOS / GPL
The post BIRTHDAY YA MONALISA ILIVYOKUWA USIKU WA KUMKIA LEO appeared first on Global Publishers.