NEWS

18 Agosti 2018

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA BUGANDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha uangalizi Maalum ICU katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza.

The post RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA BUGANDO appeared first on Global Publishers.