Basi la Kampuni ya Saratoga lililokuwa likitoka Kigoma kuelekea Sumbawanga limewaka moto na kuteketea katika Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijajulikana bado.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin Ottieno amesema jeshi lake linachunguza chanzo cha moto huo.
Bado haijafahamika iwapo kuna vifo au majeruhi kutokana na ajali hiyo mbaya.
Endelea kufuatilia mitandao ya Global Publishers na Global TV Online kwa taarifa zaidi.
The post Breaking News: Basi la Saratoga Lateketea kwa Moto appeared first on Global Publishers.