DIAMOND Plantinum ameachia show ya kufa mtu katika birthday ya Rom Jons iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki Masaki jijini Dar es Salaam bila ya kuwepo msanii wa lebo ya WCB Harmonize.
Diamond ameonekana akitumbuiza nyimbo hiyo akiwa na Mbosso na Lavalava na Rom Jons mwenyewe huku akiwainua mashabiki kwa shangwe.
VIDEO: SHUHUDIA DIAMOND AKIFANYA YAKE
The post Diamond Alivyocheza KWANGWARU Bila HARMONIZE – Video appeared first on Global Publishers.