Muimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameachia video ya wimbo wake mpya wa NIPE. Audio ya wimbo huu imeongozwa na Crucial Sounds/Johntez na video imeongozwa na TrueDpictures/SammyD. ==>>Utazame hapo chini