NEWS

16 Agosti 2018

H Baba Amtetea Diamond na WCB Sakata la Rich Mavoko


Msanii anaefanya mziki wa dance nchini, H.Baba ameibuka na kumshauri Diamond baada ya taarifa kusambaa kuwa Rich Mavoco amejitoa WCB, huku sababu ya kujitoa kwake ikitajwa kuwa ni unyonyaji unaofanywa na lebo hiyo, kupitia ukurasa wake wa instagram H.baba ameandika ujumbe huo kama unavyosomeka hapo chini

"@diamondplatnumz #Polee sana ni muda wakujifunza maisha na watu ni vitu viwili tofauti #Umakini ulionao wewe sio wakila binadamu anaumakini huo #kujitambua kwako nakujipambania kwa uwezo wako nakumuomba Mungu sio Jambo la kawaida kwa mdharau Mwiba #kama kunatofauti yako na #Mr.mavoko limalizeni kiustaarabu naamini mnafahamiana vyema na Mr. Mavoko toka kitambo Mimi natoka mwanza nimewakuta kwenye game japokuwa siku ya kila mmoja kutoboa Mwenyezi Mungu ameiwekea siri kubwa ili ukate tamaa #Amkukata tamaa Kila mmoja akatoboa kwa njia yake Onyeshaneni upendo Sanaa inasiri kubwa #Kioo Cha jamii kwa msanii niinshu kubwa Sana ila tunachukulia poa jambo hili #Wekeni sawa swala lenu #Unyonyaji unaosemekana kuwa #WCB niwanyonyaji sio kweli #WCB hawanauwezo wakumnyonya msanii ila msanii anaouwezo wakuwanyonya #WCB Kwa sababu nyingi sana watazame kina #MBOSO #LAVALAVA je ninani anamnyonya mwenzie utagundua WCB wanautu #wcb niwapambanaji ila Kama upambani auwendani na Kasi ya #MR.KAUNGURUMA.. #Simbaaa #lazima utaomba poooo #Uvumilivu kwenye Sanaa ndio misingi ya sanaa yetu #Ukifata yawalimwengu utakuwa mtazamaji wa walimwengu #Ninamengi yakusema kwa Leo niishie hapa #lawama sio mzigo." H Baba