NEWS

16 Agosti 2018

Habari za Kuwa Ndege ya Dream Liner ni Mbovu....Mkurugenzi wa ATCL Afunguka


Mkurugenzi wa ATCL amekanusha taarifa kuwa, Dreamliner ni mbovu na kwamba ilisitisha safari yake ya Mwanza - Dar. Amesema, wamesimamisha safari ili ifanyiwe matengenezo kwani kwa sasa ipo katika majaribio. Ameeleza kuwa, itaanza safari za kimataifa mwezi huu kwenda Mum