NEWS

31 Agosti 2018

Hamza Majuto: Magufuli Aliniteua Nikiwa Kwenye Daladala – Vidwo

GLOBAL TV imefunga safari mpaka katika Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumtembelea na kuzungumza na Katibu Tawala Mpya wa wilaya Hiyo, Hamza Majuto, ambaye ni mtoto wa Aliyekuwa msanii Mkongwe wa Filamu nchini Marehemu King Majuto.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika Alimtangaza Hamza Majuto, kuwa Katibu Tawala wa Bagamoyo Mnamo Agosti 5 mwaka huu.

EXCLUSIVE: Mtoto wa Mzee Majuto Azungumzia Uteuzi Wake!

The post Hamza Majuto: Magufuli Aliniteua Nikiwa Kwenye Daladala – Vidwo appeared first on Global Publishers.