WCB wamekuja pamoja kwa mara nyingine tena, ni baada ya Diamond Platnumz kuachia ngoma mpya 'Jibebe' ambayo amemshirikiana na Lava Lava pamoja na Mbosso. Isikilize hapa.