NEWS

25 Agosti 2018

Rais Magufuli Akagua Shamba la Mboga Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua bustani za mbogamboga mbalimbali zilizokuwa zikilimwa na Marehemu Dada yake Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.

The post Rais Magufuli Akagua Shamba la Mboga Chato appeared first on Global Publishers.