NEWS

2 Agosti 2018

Video: Vilio,Majonzi! Vyatawala Mazishi ya Mama wa Shigongo


Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amesema kuwa hakika ni pigo kwake na kwa familia kwa ujumla kwani ameondokewa na mtu muhimu katika maisha yake na Mwenyezi Mungu ampumzishe katika nyumba yake ya milele daima kwani atamkumbuka siku zote za maisha yake na ataendelea kutenda yale yote aliyojifunza kutoka kwake.

The post Video: Vilio,Majonzi! Vyatawala Mazishi ya Mama wa Shigongo appeared first on Global Publishers.