
WAKALI wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia ngoma ya pamoja inayoitwa ‘Jibebe’ na umetengenezwa na Producer Lizer.
Kutazama video hiyo, Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC
The post Wimbo Mpya: Diamond Platnumz X Lava Lava X Mbosso – Jibebe appeared first on Global Publishers.