NEWS

16 Septemba 2018

Alichoongea Kalanga Baada Ya Kupiga Kura Monduli (Picha + Video)

Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Kalanga akiwa katika foleni kabla ya kupiga kura.

…akipokelewa na msimamizi wa uchaguzi.

Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Kalanga baada ya kupiga kura katika kata ya Lepuluka, Monduli jijini Arusha amesema kuwa zoezi linaendelea vizuri na amewashukuru wananchi wanaoendelea kupiga kura.

Pia amewashukuru wananchi wa Monduli kwa kudumisha umoja na mshikamano kwa kipindi chote cha kampeni huku akisema kuwa kuna changamoto kwenye jimbo la Monduli kuwa wafugaji wanaangaika na mifugo kwa kipindi hiki cha kiangazi

The post Alichoongea Kalanga Baada Ya Kupiga Kura Monduli (Picha + Video) appeared first on Global Publishers.