NEWS

16 Septemba 2018

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI MISANYA BINGI AMEFARIKI DUNIA

Mtangazaji Maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi enzi za uhai wake.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata na stroke na kupelekwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).

The post BREAKING NEWS: MTANGAZAJI MISANYA BINGI AMEFARIKI DUNIA appeared first on Global Publishers.