NEWS

6 Septemba 2018

LIVE: Rais Magufuli anazungumza Butiama Kwenye Uzinduzi wa Barabara....Msikilize Hapa

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi.

==>>Fuatilia Kila Kitu Hapo Chini