NEWS

6 Septemba 2018

Ngome ya Mbowe Yatikiswa, Wenyeviti 19 Wamkimbia

Ngome ya Mbowe Yatikiswa, Wenyeviti 19 Wamkimbia
Wenyeviti wa vijiji 19 kupitia tiketi ya Chadema wilayani Hai katika Mkoa wa Kilimanjaro wamejivua uanachama wao na kuhamia CCM leo hii.

Miongoni mwa waliojiudhuru ni Emanuel Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa kijiji cha Nshara anayedaiwa kuwa na  udugu na Freeman Mbowe.

Jimbo la Hai ni ngome ya Chadema ambapo linashikiliwa na Mbunge wake Freeman Mbowe.