NEWS

16 Septemba 2018

UCHAGUZI MDOGO: GARI LA MBUNGE WA CHADEMA LASHAMBULIWA

Muonekano wa Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Anna Gidarya.

Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi katika kata ya Majengo jijini Arusha.

Waliofanya shambulio hilo hawajatambulika bado

The post UCHAGUZI MDOGO: GARI LA MBUNGE WA CHADEMA LASHAMBULIWA appeared first on Global Publishers.