NEWS

16 Septemba 2018

Uchaguzi Mdogo: Gari la Mbunge wa Chadema Lashambuliwa

GARI la  Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Anna Gidarya, linasemekana  limeshambuliwa kwa risasi na kutoboa matairi yake katika Kata ya Majengo jijini Arusha.

Waliofanya shambulio hilo hawajatambulika.