NEWS

16 Septemba 2018

VIDEO: Wazee wa Chadema Wamcharukia Magufuli, Wataja Mambo Manne Aliyofeli


Mwenyekiti wa Baraza la wazee Chadema, Hashim Juma, amemcharukia Rais John Magufuli kutokana na madai ya uongozi wake mbovu huku akitaja mambo takribani menne ambayo yamemfelisha katika uongozi wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI