MSANII wa filamu nchini na mjasiriamali, Jacquiline Wolper amesema katika historia yake ya mahusiano kila mwanamume anayeachana naye anakuwa bado anamuhitaji licha ya yeye kuwakacha na kutohitaji mawasiliano nao wala kusogeleana.
Woler amesema hayo usiku wa kuamkia leo pale kwenye ukumbi wa King Solomoni wakati akihojiwa na wanahabari kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha Lemutuz.
VIDEO: MSIKIE HAPA WOLPER AKIFUNGUKA
The post WOLPER: Harmonize Bado Ananipenda, ni Pepo Tu – Video appeared first on Global Publishers.