Raia wa Italia Gilberto Baschiera amefukuzwa kazi na kupoteza nyumba yake baada ya kugundulika kuwa alikuwa akiwaibia fedha Matajiri katika akaunti zao zaidi ya Tsh. Bilioni 2 na kuwapa Maskini. Toa maoni